Hivi Hawa Managers na Crew yote ya Wasanii wakubwa huwa wanalipwa kwa Njia gani??

Joined
Oct 27, 2016
Posts
12
Reaction score
2
Habari wanajamvi ..

Kama Heading inavyojieleza ,naomba kujuzwa hivi Wasanii wakubwa huwa wanawalipa Managers wao kwa Criteria gani??kwa kila show?? Kwa mwezi ?? Au kwa njia ipi.Pia vipi kuhusu Crew yao nyingine kama Dancers ,Djs na CREW members wengine.

Maana utasikia Msaniii Fulani kalipwa Dola elfu kadhaa kwa show aliyoifanya mahali.,je hiyo humaanisha malipo yake peke yake?? Au ndo hapo hutakiwa kulipa Crew yake na ipi ni best approach, kulipa per specific time say per month au kwa kila Show inayofanyika??

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu[emoji4] [emoji276]
 
Ni makubaliano tu, ila nadhan watakuwa wana asilimia kadhaa kwa kila kinachoingia kwa mapato ya jumla ya msanii kama kwenye show, endorsement, ringtones,n.k
 
Wanalipwa kwa njia mnunulisho yaani kunakuwa na percent flani wanapata kutoka kwenye dau wanaloingiza kwa kila show
 
Kwa Mpesa
 
Hawalipwi Wananunuliwa mademu na posho kidogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…