Hivi hawa MyKariakoo ni waaminifu?

Hivi hawa MyKariakoo ni waaminifu?

Si uagize ulipe baada ya mzigo kufika
Issue wanasema niwatumie kwanza 15 ya kusafirisha mzigo ukifika ndio nalipia ... Nawaambia Kwa nini wasitume nikipokea nilipe kila kitu hawataki mpaka nitume ya kusafirisha.
 
Unataka nn mm nikuagizie ulipe baada ya kupokea mxigo
Screenshot_20240208-123346.jpg

NAHITAJI hiki ....
 
Issue wanasema niwatumie kwanza 15 ya kusafirisha mzigo ukifika ndio nalipia ... Nawaambia Kwa nini wasitume nikipokea nilipe kila kitu hawataki mpaka nitume ya kusafirisha.
kama huwaamini temana nao agiza pale unapoona nafsi yako inaridhia
 
Issue wanasema niwatumie kwanza 15 ya kusafirisha mzigo ukifika ndio nalipia ... Nawaambia Kwa nini wasitume nikipokea nilipe kila kitu hawataki mpaka nitume ya kusafirisha.
Unataka nini kama nakijua kilipo nikutumie
 
Unataka nini kama nakijua kilipo nikutumie
Screenshot_20240205-200307.jpg

Nahitaji hiki... Ofisini Nina lidesktop na mi ni mtu wa field sana ... Na Kwa kazi za Sasa na mamifumo kila siku kuingia inaniwia ugumu... Naweza nisiwe ofisini wiki nzima ...eneo langu kubwa la kazi ni visiwani... Nahitaji kitendea kazi ... Najinunulia Serikali ya kiboya hii inaleta mifumo huku vitendea kazi hawaleti ..ila Kwa kuwa wanangu wanaenda chooni acha niingie tu hasara ya kununua Ili kazi ziendelee Mkuu.
 
samahani lakini mkuu...unaijua vyema aina hiyo ya computer, au umetamanishwa na bei?....
Mi kazi zangu sio nzito kihivyo ni internet tu kupakua na kupakia documents/ pdfs basi....kama Ina changamoto ukinijuza pia ni vizuri..ndio specialization and division of labor....
 
Back
Top Bottom