Hivi hawa Shilawadu ni watangazaji au wasanii kitaaluma

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Je wamesomea utangazaji, uigizaji/ usanii? Sijawahi kuwaelewa taaluma yao

Karibuni
 
Wamesomea umbea mkuu si unajua kirefu cha SHILAWADU - SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI....

Huwa siwaelewi² hata
 
Waziri alishasema kuwa zaidi ya 90% hawapaswi kuwa waandishi/watangazaji, miongoni mwao ni ao wambea wa kiume tena wanawakilisha kundi kubwa la wanaume wa Dar
 
Hawa jamaa kipindi na utangazaji wao ni ubunifu filani wameuleta. Hawa hawahitaji hata kuwa na weledi wa chuo.
 
Kinachomata ni kupiga pesa tu

Jamaa ni maarufu nchini so wacha waendelee kunyapia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…