Afyayaakili JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 924 Reaction score 1,263 Sep 16, 2012 #1 Wamenipa facult ya Computer science and engineering pale St Joseph wakati sikuiweka kwenye choice pia nimesoma HGL sasa sijui wanataka nini,nikiwapigia simu subiri subiri kibao.Msaada wa kimawazo.
Wamenipa facult ya Computer science and engineering pale St Joseph wakati sikuiweka kwenye choice pia nimesoma HGL sasa sijui wanataka nini,nikiwapigia simu subiri subiri kibao.Msaada wa kimawazo.
i pad3 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 1,518 Reaction score 378 Sep 16, 2012 #2 waliajiriwa kwa vimemo. Unprofessional.. So wakulaumiwa ni wale wote walioipigia kura ccm
Afyayaakili JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 924 Reaction score 1,263 Sep 16, 2012 Thread starter #3 i pad3 said: waliajiriwa kwa vimemo. Unprofessional.. So wakulaumiwa ni wale wote walioipigia kura ccm Click to expand... Yaah,hiyo kweli kabisa.
i pad3 said: waliajiriwa kwa vimemo. Unprofessional.. So wakulaumiwa ni wale wote walioipigia kura ccm Click to expand... Yaah,hiyo kweli kabisa.
ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 148 Sep 16, 2012 #4 kweli leo nimeamini...ukiwa nacho hutaona thamani yake kamwe...ila ukikosa ndo utapojua thamani yake.....mtoa mada amenifurahisha sana!!!!!!!
kweli leo nimeamini...ukiwa nacho hutaona thamani yake kamwe...ila ukikosa ndo utapojua thamani yake.....mtoa mada amenifurahisha sana!!!!!!!
Afyayaakili JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 924 Reaction score 1,263 Sep 16, 2012 Thread starter #5 LORDVILLE said: kweli leo nimeamini...ukiwa nacho hutaona thamani yake kamwe...ila ukikosa ndo utapojua thamani yake.....mtoa mada amenifurahisha sana!!!!!!! Click to expand... Mbona sijakuelewa kaka.
LORDVILLE said: kweli leo nimeamini...ukiwa nacho hutaona thamani yake kamwe...ila ukikosa ndo utapojua thamani yake.....mtoa mada amenifurahisha sana!!!!!!! Click to expand... Mbona sijakuelewa kaka.