Wadau,kama mnakumbuka tcu walituambia deadline ya kufanya registration ni tar 4/07/2012 saa 00:01,sasa cha kushangaza deadline imepita ila wenyewe bado hawajatoa update ya kitu chochote kinachoendelea kwenye website yao.mfano saa hzi ukilog in kwenye cas utakutana na maneno yaleyale na still you can make some changes.sasa nauliza,hvi kweli organisation kubwa kama hii inafanya mambo kienyeji kienyeji kiasi hiki,wako seriouse kweli?
Sijaawahi kuona watu walalamishi kama wabongo, muda uliongezwa hadi tarhe 4 mkalalamika ni mfupi sana wameongeza hadi nane bado ulalamishi tuu ukienda TCU sasa hivi ni msururu wa Applicant eti walikuwa wahajaaplly kabisaaaa wengine wanalalamika hawajapata Vocha za kuaplly nao wamezongana pale kwa sura za huruma kama wafiwa vile, Eleweni kuwa TCU wasipo maliza hili zoezi la udahili mapema, litachelewesha pia alocation za mikopo maana Bodi ya mikopo sasa hivi wanasubiri majina toka TCU ili waanze nao kuchanachana kivyao Mnavyo lalamika hivi inaashiria uelewa mdogo au upuuzi Duuu TCU iwape makalio ndio mridhike?

kwanini wafiche wasiweke hadharani,ujue kuna wengi wamekata tamaa kisa ya hiyo tarehe 4 hapo mwanzo.Sijaawahi kuona watu walalamishi kama wabongo, muda uliongezwa hadi tarhe 4 mkalalamika ni mfupi sana wameongeza hadi nane bado ulalamishi tuu ukienda TCU sasa hivi ni msururu wa Applicant eti walikuwa wahajaaplly kabisaaaa wengine wanalalamika hawajapata Vocha za kuaplly nao wamezongana pale kwa sura za huruma kama wafiwa vile, Eleweni kuwa TCU wasipo maliza hili zoezi la udahili mapema, litachelewesha pia alocation za mikopo maana Bodi ya mikopo sasa hivi wanasubiri majina toka TCU ili waanze nao kuchanachana kivyao Mnavyo lalamika hivi inaashiria uelewa mdogo au upuuzi Duuu TCU iwape makalio ndio mridhike?
Nazani watu hatujaelewa maelezo. Deadline ya REGISTRATION imeahapita ila wale ambao tayari wako REGISTERED ndio wanye uwezovwa ku login na kubadili zile program ambazo ziko "NOT ELIGIBLE".
mkuu maelezo yako sijayaelewa jaribu kufafanua
VIJANA NDIO MAANA HUWA MNA FELI.......TCU WANA WAKO SERIOUS ILA NINYI NDIO HAMNKO SERIOS....HEBU INGIA KWENYE REGISTRATION NA SIO kU LOG IN...UTA ONA WA ME STATE KUWA DEADLINE ya ku edit Eligibilty MWISHO NI LEO TAREHE 8/JULY.. ILA HUWEZI KUFANYA NEW REGISTRATIONA KAMA HAUKUA NA ACCOUNT YA TCU,.. SO GUYS LEOOO NDIO MWISHO//// kwenye login page nenda registration....afu nipe comment
Nazani watu hatujaelewa maelezo. Deadline ya REGISTRATION imeahapita ila wale ambao tayari wako REGISTERED ndio wanye uwezovwa ku login na kubadili zile program ambazo ziko "NOT ELIGIBLE".
And why would they tell ya 2 verify nd chck your infos b4 the deadline if it concerns the new members?
Ulikua unataka wakwambie uverify your info after deadline?? Or I didn't get U well??
According to them muda wa kubadili nao uliisha jana,update iliyopo ni personal information!
Ila mi kwa upande wangu nawapongeza tcu kwani wamekua quite fair wangefuata deadline ya awali wengi wetu tungefanyiwa udahili tukiwa na makosa lukuki!,japo nao teknolojia wanayoitumia bado inawashinda kidogo.