Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Heshima kwenu.
Nilikuwa natumia mtandao wa tigo zamani, nikawa nimekuja sehemu ambayo network ilikuwa inashika kwa tabu sana, kwa kuwa nina line ya Voda nikajaribu kuweka salio ikawa inafanya vizuri tu nikaacha kutumia line yaTigo.
Sasa juzi najaribu kuunga kifurushi kwa line ya Voda nashangaa sioni hii Offer ya Kaskazini ambayo ilikuwa ni 2000 sms+mb+dakika, wameweka tu internet peke yake ambapo wameongeza na bei imekuwa elfu 3.
Nikasema niwa-check tigo nikakutana na Size yako nimeunga inafanya vizuri kabisa. Sasa hizi offer za Voda zimeondolewa za Kaskazini tu au na nyie huko mlipo pia wameziondoa?
NAWASILISHA.