Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Heshima kwenu.
Nilikuwa natumia mtandao wa tigo zamani, nikawa nimekuja sehemu ambayo network ilikuwa inashika kwa tabu sana, kwa kuwa nina line ya Voda nikajaribu kuweka salio ikawa inafanya vizuri tu nikaacha kutumia line ya tigo.
Atumie mtandao upi Tigo ya kwako au ?Ujinga ni kutumia mtandao wa voda, achana nao ujiepushe na ujinga
Atumie mtandao upo Tigo ya kwako au ?
Namaanisha mtandao upi ahamie sasa Tigo au ?Atumie mtandao wa tigo yako au yako
Ukiona voda ni hivyo ujue kote kupo hivyo. Mitandao hushirikiana kwenye beiUjinga ni kutumia mtandao wa voda, achana nao ujiepushe na ujinga
Hajui Kama na mwingine kutakua hivyo tuNamaanisha mtandao upi ahamie au sasa au Tigo ?
Ujinga ni kutumia mtandao wa voda, achana nao ujiepushe na ujinga
Atumie mtandao upi Tigo ya kwako au ?
Pole Sana
Ukiona voda ni hivyo ujue kote kupo hivyo. Mitandao hushirikiana kwenye bei
Pole sana, vifurishi vinabadilishwa kila siku saa sita ya usiku...
Tatizo la VODACOM ni kuwa wakishaona wewe ni mteja wao sana wa huduma flani wanaona kama unafaidi sana, wanaanza kukufutia hizo huduma na kukupa za hovyo
Au wanakuongezea gharama wakifikiri unafaidi sana kwa pesa ndogo
Vodacom ni wa hovyo SANA. Hamia Tigo Mkuu.
Hamia TTCL
Wapo njema sanaHawa jamaa kwa mikoani wanafanya vizuri...? Ila pia suala la kuongeza salio na miamala naona kama upatikanaji wake ni wa tabu kidogo.