Hivi hawa Vodacom wameondoa Kaskazini Offer tu au wameondoa Offer zote?

Kumbuka mara nyingi hii offer kila mtu ana yake unakuta kwako wameilima halafu kwa mwenzako ipo kama kawa na mpo sehemu moja.
 
Kumbuka mara nyingi hii offer kila mtu ana yake unakuta kwako wameilima halafu kwa mwenzako ipo kama kawa na mpo sehemu moja.

Nimeangalia mpaka kwa wife wameilima kiongozi. Wamekuwa wa hovyo sana Voda mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…