Ninawafuatilia wanashangaa sana timu kupigwa red card halafu inashinda!
Kama waliamua kufanya kazi hiyo,wafanye utafiti watagunfundua timu inapocheza pungufu uwanjani mara nyingi huwa wanamatokeo mazuri iwapo mpinzani atajisahau na kuruhusu wachezaji wake wote kushambulia.
Timu zenye tabia ya kucheza katika eneo lao wakiwa wamepaki bus,huwa wanapata bahati ya kufunga kwa counter attacks.Wafuatilie Chelsea alivyobeba UEFA 2012.
Jifunzeni soka kama mnataka kuwa wachambuzi wazuri