Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira, wote mb,,uzi watupu, yamebakia na ushabiki wa Simba na yangaWachambuzi wako wengi mzee, wataje majina japo wajijue. Haya mambo ya kuficha kila kitu ndio yanatuharibia.
Fulani kakosea asemwe ni fulani, sio kuwaambia kwa mafumbo.
Haya wataje wajijue ili kesho na kesho kutwa wajirekebishe.
Leah Geof huyu ni mchambuzi wa maharage,halafu hivi ni ke au me?Wataje kwa majina kama kweli unafanya hip hop