Hivi hawa wakuu wapo kweli humu Jukwaani??

Hivi hawa wakuu wapo kweli humu Jukwaani??

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
1.
Simba Day ni siku maalumu kwa Klabu kupiga mikwara dhidi ya timu za Ligi.... Lakini cha kushangaza huwa mnapoteaga kwenye jukwaa hili wiki 8 baada ya LigiKuu kuanza.
Mkuu mpaka sasa.. Ni wiki ya Nane..Simba S.C tupo kileleni

2.
sembo
Hata kwenye boxing heavy weight kujipima na light weight haileti taswira sahihi. Nadhani utakubaliana nami. Tusubiri hiyo Simba week yenu tuone kipimo halisi.
Mkuu.. Umeyapata lakini matokeo ya Simba S.C alipokutana na Heavy Weight wenzake??

3.
... Anyway hata mlipowafunga Polisi Morogoro mlichonga sana utafikiri mmechukua kikombe. Simba hawezi kuwa bingwa wa VPL 2016/2017, nafasi ya 3 inawahusu maana wastara hazumbuzi wa mbili havai moja...
Kubishana kuhusu mkia fc ni kujipotezea muda bure, kwa sasa wao wako level moja na Mtibwa, Ndanda Prisons na wengineo, anayejaribu kutoa changamoto kwa Yanga ni Azam.Sioni kama timu waliyonayo inaweza kusogea zaidi ya nafasi ya tatu.
Wakuu bado.. Mna wasi wasi na ubora wa Mnyama??

4.
Sasa simba kucheza friends mechi na timu ya 11 au ya 9 kwenye ligi yao, hapo anajipima au danganya toto? Kumbuka kambi aliweka morogoro akawa anacheza na timu za daraja la ngap sijui.. Anyway it's matter of time
Mkuu.. tuendelee kusubiri mda uongee.. au mda wenyewe ni sasa??

5.
Sisi Azam FC tunawasubiria tuwakate mkia
Mkuu.. Mlifanikiwa kuukata huo Mkia.. Au mlilambwa kila kona??

6.
Angali usije kupotea wewe tuu kama ilivyokuwa msimu ulioisha,maana ulikimbia kabisa hapa Jukwaani.
Sasa mbona ligi ikianza unakimbia humu?
Hivi mbwembwe hajaanza leo hata mwaka jana alianza,hivi walivyoanza kufungwa akakimbia JF
Wakuu.. Mpo kweli jukwaani humu.. Maana mmepotea kweli??

7.
Ndo kawaida yenu hiyo mwanzoni mnaanza kwa mbwembwe wenyewe ligi ikichanganya tu mnapoteana
Simba bado sana nafasi ya 3 kwenye vpl inawahusu!
Kwa mpira ule mwaka huu kwenye ligi nafasi ya 9 inawahusu,yaani vile mnavyorukaruka wakati mmekutana na utumbo ule mtatia aibu sana mwaka huu.
Taarifa iwafikie.. Simba S.C inaongoza ligi kwa sasa.

Nakala: lil wayne Sibonike Makoye Matale Gide MK jang Denis denny Frank Wanjiru Deo Corleone Belo brigedia mafia Mawembasa1979 nasmapesa na ndugu zao.
 
Am here to stay.
Hongereni.
Tukutane May
Shukrani Mkuu.. Ni kitambo sana sijakuona.. Nadhani May ni mbali sana.. Mechi ya mwisho ya VPL ni 09/04/2017.. Nadhani tukutane April.
 
mkuu hiyo baiskeli uliyonayo siyo ya mashindano,ngoja utaona baiskeli za mashindano zilivyo.
Naihifadhi hii kauli yako.. Nitairudia tena April, 2017.
 
Kombe unaloweza chukua ni Mapinduzi tu
Haha.. Mlisema hivi hivi, kua ligi ikianza tutatafutana.. Imeanza.. kwa jinsi tulivyo takata.. mmepoteana.

Naihifadhi tena hii kauli yako.. Nitarudi tena hapa mwezi March 2017.. tukiwa tumebakiza mechi 3 huku tumeshatangaza ubingwa was VPL, mda huo tushaweka kibindoni Kombe la FA na Kombe la Mapinduzi.
Kabla ya mechi ya Yanga ulikimbia wiki tatu,kisa unamuogopa Tambwe
Mkuu.. Majukumu yalinikaba sana.. Alafu nilikua eneo korofi sana.
 
Simba kwa mbwembwe bwana?Baadae mambo yakiwa tight mtaanza kulia Yanga wanabebwa.
Mkuu umepotea sana Jukwaani.. Huyu Kichuya asikufanye upotee hivyo, karibu tena.

Mbwebwe zilikua msimu uliopita.. Msimu huu tunafanya vitendo uwanjani..
Ushauri wangu kwenu, jitahidini muambulie japo nafasi ya 3.. Maana hawa stand united si watu wazuri.
 
sembo
you are the most Optimistic of all Simba members and fans that I know. Ligi hata nusu bado lakini nakuona Mkuu kama tayari umetwaa kombe vile.

Ni vyema kujipa moyo. Robo ya kwanza, mzunguko wa pili, ndiyo tutapata picha. Hata huyu Azam aliyelewa juice zake anaweza kuibuka!
 
Haha.. Mlisema hivi hivi, kua ligi ikianza tutatafutana.. Imeanza.. kwa jinsi tulivyo takata.. mmepoteana.

Naihifadhi tena hii kauli yako.. Nitarudi tena hapa mwezi March 2017.. tukiwa tumebakiza mechi 3 huku tumeshatangaza ubingwa was VPL, mda huo tushaweka kibindoni Kombe la FA na Kombe la Mapinduzi.

Mkuu.. Majukumu yalinikaba sana.. Alafu nilikua eneo korofi sana.
Mbona siku zote mnazoshinda haujawahi kuwa hilo eneo korofi ?
 
Mbona siku zote mnazoshinda haujawahi kuwa hilo eneo korofi ?
Mkuu mechi ambazo nilikua eneo korofi ni;
1. Simba S.C 2-0 Ruvu Shooting
2. Simba S.C 1-0 Azam F.C
3. Yanga Yetu 1-1 Simba S.C
 
1.

Mkuu mpaka sasa.. Ni wiki ya Nane..Simba S.C tupo kileleni

2.

Mkuu.. Umeyapata lakini matokeo ya Simba S.C alipokutana na Heavy Weight wenzake??

3.

Wakuu bado.. Mna wasi wasi na ubora wa Mnyama??

4.
Mkuu.. tuendelee kusubiri mda uongee.. au mda wenyewe ni sasa??

5.
Mkuu.. Mlifanikiwa kuukata huo Mkia.. Au mlilambwa kila kona??

6.

Wakuu.. Mpo kweli jukwaani humu.. Maana mmepotea kweli??

7.

Taarifa iwafikie.. Simba S.C inaongoza ligi kwa sasa.

Nakala: lil wayne Sibonike Makoye Matale Gide MK jang Denis denny Frank Wanjiru Deo Corleone Belo brigedia mafia Mawembasa1979 nasmapesa na ndugu zao.
Mkuu kelele zako uwa azifikagi hata jan,
 
sembo
you are the most Optimistic of all Simba members and fans that I know. Ligi hata nusu bado lakini nakuona Mkuu kama tayari umetwaa kombe vile.

Ni vyema kujipa moyo. Robo ya kwanza, mzunguko wa pili, ndiyo tutapata picha. Hata huyu Azam aliyelewa juice zake anaweza kuibuka!

Ni sawa kabisa Mkuu.. Ila nakukumbuka mara ya kwanza ulisema kipimo cha Simba S.C ni pale atakapokutana na heavy weight wenzake.. Nadhani alipokutana nao, matokeo uliyapata.

Leo unasema tuvumilie mpaka robo ya kwanza ya mzunguko wa pili.. Sio mbaya mda utaongea.

Hao watakaozinduka raundi ya pili watakua washachelewa sana.. Maana kwa hii kasi tuliyonayo.. Kutukamata itakua ngumu sana.
 
Back
Top Bottom