Hivi hawa wakuu wapo kweli humu Jukwaani??

Simba hadi raaha msimu huu...na bado!!!

Kweli???????????????!!!!!!!!!!!!! mwisho mwa msimu msikimbilie 'uvunguni mwa meza'....byeyombo, nitakutafuta ndugu yangu....usianze 'kurusha ngumi', siku hiyo..... tehtehtehtehteh
 
Kweli???????????????!!!!!!!!!!!!! mwisho mwa msimu msikimbilie 'uvunguni mwa meza'....byeyombo, nitakutafuta ndugu yangu....usianze 'kurusha ngumi', siku hiyo..... tehtehtehtehteh
Hakuna shida mkuu Mimi nina imani na simba yangu 100%
 
Mechi yetu na mpakato fc.Niliwaambia kama wanadhani simba ya msimu huu ni ile Kessy waje na matokeo uwanjani.Wakaondoka kwenda kwa yule afande wakaja na magoli ya mkono.SEMBO wasikutishe, midfield zao zote zimezeeka.Labda dirisha dogo watafute wakutatua hilo tatizo.
 

Haha.. Mkuu hata siku moja, Yanga Yetu hajawahi kua tishio kwangu.
Na hadi wajiimarishe katika hilo dirisha dogo.. Simba S.C tutakua mbali sana [nadhani tutakua tushawaacha pointi 9].. Mpaka hao wachezaji wazoeane na wenzao.. Sisi tutakua tushatangaza ubingwa zamani [tukiwa tumebakiza mechi tatu].
 

Wewe tamba tuu sasa hivi lakini sisi wazoefu na wewe tunafahamu muda wako wa kukimbia hapa Jukwaani ni upi.
 

Mnasafiria na Gari la udongo ngoja mvua inyeshe ndio utajua kuwa hilo Gari sio.
 
Shukrani Mkuu.. Ni kitambo sana sijakuona.. Nadhani May ni mbali sana.. Mechi ya mwisho ya VPL ni 09/04/2017.. Nadhani tukutane April.
Sembo itabidi tuunde group la whtsaap la wana simba ili tupate full matukio ya MBABE WA LIGI KUU NA MFALME WA MWITUNI SIMBA!! KAMA LIPO NIJUZE MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…