Nakumbuka huyo kanda bongoman,alikuja akapiga mnazi bure,mzee ilikuwa patashika nguo kuchanika,watu wawili walipoteza maisha,kuna dem alijichomeka katikati ya watu,kutoka chupi hana,nyimbo yenyewe alipiga moja umeme ukakatika na onyesho likaisha
Kiongozi mkuu wa nchi hii aliacha kwenda kuonana na madaktari waliogoma na badala yake akaenda kuwa mgeni rasmi kwenye onesho la kanda bongoman uwanja wa taifa.
Huko muhi2 watu wakilia wakawa wanaambiwa wasubiri Isambee iishe ndio madaktari wawahudumie! Walikufa wengi hasa majeruhi!