Najiuliza hivi hawa Zero + Four ambao ni Asilimia 82.15 Wanakwenda wapi?
Mkuu heshima mbele.
Naunga mkono kutaka kujua vijana walofel wanaenda wapi!
Lakini nakujulisha tu kua Division IV zipo ambazo zinaenda form five.
So ktk uchambuzi huu tunakosakujua kati ya wenye Div IV wangapi wana credit tatu (i mean 3 C's) ambazo zinawawezesha kuingia form five. Coz si wote wamefel kuna wengine wako eligible kuendelea.
Asan10
Matokeo ya Kidato cha nne 2009
Division I + II + III = 42,627 sawa na Asailimia 17.85
Divisheni IV = 130,651 sawa na Asilimia 54.66
Divisheni 0 ( Sifuri) = 65,708 sawa na Asilimia 27.49
Najiuliza hivi hawa Zero + Four ambao ni Asilimia 82.15 Wanakwenda wapi?
Mwaka Jana tumezalisha wangapi? Mwaka Juzi Je na Je Serikali ina mkakati gani kuhakikisha Mwakani inapunguza hiyo Zero na Four
Je Baada ya Miaka Kumi tutakuwa na Taifa Gani
Ni kweli. Nawajua mabinti fulani wawili walipata four wakaenda kwa kuchechemea Form five private school cha ajabu walienda kuibuka na Div I kule huwezi kuamini.
Hao ndio sawa na waalimu wa UPEOhoo, wanaopata IV wanaingia ualimu wengine. Yaani hao ndio moto unaoendeleza this vicious cycle. Mtu kafeli hesabu lakini anaenda kusomea ualimu wa shule ya msingi na anakuwa mwalimu wa hesabu
Matokeo ya Kidato cha nne 2009
Division I + II + III = 42,627 sawa na Asailimia 17.85
Divisheni IV = 130,651 sawa na Asilimia 54.66
Divisheni 0 ( Sifuri) = 65,708 sawa na Asilimia 27.49
Najiuliza hivi hawa Zero + Four ambao ni Asilimia 82.15 Wanakwenda wapi?
Mwaka Jana tumezalisha wangapi? Mwaka Juzi Je na Je Serikali ina mkakati gani kuhakikisha Mwakani inapunguza hiyo Zero na Four
Je Baada ya Miaka Kumi tutakuwa na Taifa Gani
Katika nchi ambazo viongozi wake wako makini katika maendeleo ya nchi zao hili lisingekuwa tatizo kubwa kiasi hicho, tatizo naliona pale ambapo viongozi hawana maadili unategemea nini katika taifa la jinsi hiyo.Ohoo, wanaopata IV wanaingia ualimu wengine. Yaani hao ndio moto unaoendeleza this vicious cycle. Mtu kafeli hesabu lakini anaenda kusomea ualimu wa shule ya msingi na anakuwa mwalimu wa hesabu
Kazi si kusoma tu wajaameni, japo kusoma ni muhimu kuna watu hazi-click huko na wanahitajika sana huko kwetu kwenye informal sector...mafundi, casual labour, drivers, the list goes..
Na huku ndhiko kazi nyingi zilipo hapa bongo formal sector (professional jobs) ni chache mno..
Ni sawa, kazi si kwa waliosoma tu. Ila kuwa na failures zaidi ya 100,000 kila mwaka haina manufaa yeyote. Tunahitaji jeshi katika informal sector lakini sio jeshi la wananchi 100,000. Kama tutatengeneze jeshi la vijana 100,000 kila mwaka watakao kuja kuwa mainjinia, wanasayansi, wachumi, nk hapo nchi itakuwa na mwelekeo.