Hivi hawa wanaojua kunengua wanapatikana wapi?

Napenda sana kuwa na Demu anaejua kunengua kama kina snura lakini kila ninaegusa hola! Na mimi hii ndio burudani yangu kubwa Aisee bora niongee hapa naweza jua pa kuanzia,kutwa nashinda kwa Tv kuangalia hii mambo aisee.

View attachment 538274
Kunengua jukwaani ni tofauti kabisa na kitandani
Kumbuka jukwaani yuko kazini, kitandani ni hisia
Kumbuka jukwaani kasimama wima bila mzigo kitandani kalala chali na mzigo(ukiacha style nyingine)
Kumbuka ngono ni sanaa lazima wawili muwe na bit moja na kasi sawa, msipishane minyongeo wala mapigo
Kumbuka pia kuna ishu ya uchovu na stress na maandalizi...ngoja nikomee hapa kwanza! Nitarejea
 
Nimekuelewa mkuu Mshana,Ila siku hizi hata hao wasiojua kunengua ni walewale Tu kama magogo ya Mibuyu!
 
Labda atawawekea mziki wa kunengua
 
Mualike bashite utawaona



Swissme
 
We jamaa me sikuwezii kila kitu uko interested
 
Hahaha, huyo ndo Mshana bhana, mwingine copy

spend less, save more
 
Good analysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…