Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

Labda kwa kila tusi kuna na ka bonus. Hai ingii akilini mtu mzima anaweza kuwa na mdomo mchafu wa viwango vya hao jamaa.

Kwamba wao wanajiona wako vizuri, kwa hakika ni kustaajabu ya Mussa!
[emoji1][emoji1][emoji1]eti kila tusi kuna bonus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi ni vijana wadogo wanaishi makwao hivyo ujira wa elfu 7 a day ni mkubwa sana kwao. Wengine ni Tisi hizi ajira mpya mpya ni vijana wadogo hawaelewi hata wanalolifanya, wakiangalia majority ya vijana hawana ajira wanajiona wana bahati sana kupitia migongo ya wajomba kupata hivyo vibarua. Hawana uelewa kuwa Rais atapita lakini serikali itabaki hivyo hawana chakupoteza kumpinga mtu anayeharibu nchi. Wengine ni wanufaika wa mfumo wa teuzi za hivyo zinazoendelea, hata kama wana akili wameamua kwa makusudi kabisa kuzitia mfukoni. They are simply cowards who live out of life options.
 
Shida nini kwani

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Tatizo liko wapi mkuu, kama hakuna unachowasaidia wala kuombwa kwa mahtaji yeyote
 
VIP ufipa Guy wao umewafatilia Mana wao ndio wanaongoza KWA Uzi umu alafu Uzi zao zote zinafanana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee
 
Wanaomsifu Rais ndiyo mnashangaa muda wanapata wap wanao msema vibaya wao mbona hamhoji wanapata wapi muda coz na wao hawalali na wao wanalipwa na nani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ