Hivi hawa wanaomsifia Magufuli huwa wanalala kweli?

Watu wanafanya mashindano na kukosoana kwa vigezo visivyo na mantiki badala ya kuangalia tunasurvive vipi na hili janga ,bendera fata upepo wengi kweli wenye akili za kubebewa ama kushikiwa wasiokuwa na uchungu wa misiba.
 
wewe unalala saa ngapi kujionea haya?
 
Ndiyo yalivyo mavuvuzela. Jana moja lilikuwa kwenye TV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majukumu yao ni hayo mkuu.
Kuipamba CCM na rais wetu mtukufu.
Wanalipwa kwa kazi hiyo.
Si ndio hao wanaitwa Lumumba buku 7? Hao wapo, na nasiki sasa wamepewa fungu la kutosha sana kuendelea kuporomosha mitusi mitandaoni. Ukisoma posts za twitter wamejaa sana
 

Mkuu. Jirani. Guten Tag. Penda chako hasa unapokuwa online infront of the whole World. Wanasema wajerumani „Die Kirschen in Nachbars Garten schmecken immer ein bisschen süßer.“ usipende vya wengine kuliko vyako. La msingi kuwa reasonable.

Ukweli Ni kwamba umeongelea upande mmoja. Lakini kwa uzoefu Wangu mdogo wa JF. Wasiolala Ni wapinzani uchwara wa JPM. Lazima waanzishe Uzi. Lazima Waforce connection. Sasa sijui umeamua kuja tu au una lako. Mwisho wa siku. Every body has a part to play in this world of ours. Especially now against this Corona-Pandemie. Sina chama Lakini napenda Nchi yangu. Jinsi tunavyoangaliwa na hawa wajerumani kwenye matrain. Mabus. Nk nk. Najiskia raha sana kuwa MTz pamoja na kuishi huku na kula Euro.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuelewa sana na samahani Kama nimeeleweka vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…