Mpenda vurugu Member Joined Apr 7, 2024 Posts 98 Reaction score 621 Oct 25, 2024 #1 Hello, Hii kero inanikela sana kila sekta wanataka cheti cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa.
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Oct 25, 2024 #2 Kero ✅ Kelo ❌ Inanikera ✅ Inanikela ❌
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Oct 25, 2024 #3 Mpenda vurugu said: Hello. Hii kelo inanikela sana kila sectar wanataka Cheti Cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa Click to expand... Kwa uandishi wako inawezakana wewe mrundi sio mbongo, wakuulize cheti hadi nyumba za ibada.
Mpenda vurugu said: Hello. Hii kelo inanikela sana kila sectar wanataka Cheti Cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa Click to expand... Kwa uandishi wako inawezakana wewe mrundi sio mbongo, wakuulize cheti hadi nyumba za ibada.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Oct 25, 2024 #4 Mpenda vurugu said: Hello. Hii kelo inanikela sana kila sectar wanataka Cheti Cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa Click to expand... Kwa uandishi huu lazima wakuulize cheti cha kuzaliwa na ukija kwangu nitaomba hadi barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa kitongoji, shina mpaka balozi wa nyumba kumi.
Mpenda vurugu said: Hello. Hii kelo inanikela sana kila sectar wanataka Cheti Cha kuzaliwa hawahamini kama nimezaliwa Click to expand... Kwa uandishi huu lazima wakuulize cheti cha kuzaliwa na ukija kwangu nitaomba hadi barua ya utambulisho wa mwenyekiti wa kitongoji, shina mpaka balozi wa nyumba kumi.
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Oct 25, 2024 #5 Kama unatafuta kazi huku umechoka usoni kwa sababu ya matatizo lazima wakakuomba Birth Certificate kuthibisha umri wako!
Kama unatafuta kazi huku umechoka usoni kwa sababu ya matatizo lazima wakakuomba Birth Certificate kuthibisha umri wako!
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Oct 25, 2024 #7 Wanajua unezaliwa ila wanataka kujua umezaliwa wapi