mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Habarini, mifano ni mingi tu.
Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa wasio na hatia.
Hivi je, ikigundulika mume aliyefanyiwa vigisu za ubakaji na mkewe na akafungwa maisha, kuwa hakufanya huo ubakaji je, ni adhabu gani hutolewa kwa aliyekuwa mlalamikaji? Mbona haya mambo yanakwenda kiholela? Haki i wapi?
Napata picha namna hizi nchi za magharibi walivyo washenzi. Hawaitakii mema dunia hii. Naona adha za nchi kuwa masikini, itapokea kila kitu hata kama hakifai. Kongole sana kwa Russia, China na North Korea plus all arabic countries.
Yaani kiholela tu mtu amepotezewa muda jela, inaonekana alionewa tena kwa makusudi halafu hakuna hatua stahiki zinachukuliwa kwa mlalamikaji na mashahidi wa uongo.
Hii inawafanya watu hasa wanaume kuzidi kuwa na mioyo ya kikatili na chuki mno. Hao ni wachache tu, je, ni wangapi wanasota muda huu? Mifano mingi achilia mbali yule wa Kenya, wanafunzi wengi tu wa kike waliofungisha walimu wao wasio na hatia.
Tutafakari, bomu hili likija kulipuka yatakuwa maafa makubwa kuwahi kutokea juu ya sayari.