Hivi hawa wanawake wanaowasingizia kesi za ubakaji waume zao wanapata adhabu gani?

Na hiyo ndio power kubwa wanayoitumia wanawake kuwanyanyasa wale wanaohitaji kuwafanyia hivyo. Huzuni kwa kweli.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Kiumbe "mwanamke" akijawahi kutuacha salama sisi wanaume sijui tuwafanyie nn watunusuru na dhambi zao na roho zao za uchaf juu yetu😢😢😧
 
Alitoka na alimsamehe mkewe pamoja na mwanae, mzee alikua anaongea kwa uchungu sana, kikubwa mzee anaonekana ni mtu wa dini sana sijui ilikuaje akajichanganya kwa huyo haramia aliemuoa na kumuweka ndani.

Alioa malaya. Huyo mzee ni introvert na ni nice guy. Sijui kwa nini nice guys huoa malaya.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Wanawake Wana haki sawa na sio wakunyanyasika!
 
Vyombo husika vikishindwa kutoa haki kwa usawa, aliyeonewa angaalie namna ya kupata haki yake.

Kama sheria za kisasa zikishindwa kuhukumu kwa haki na usawa tutumie zile sheria za Musa.
Hakuna cha kutumia sheria ya Mussa hapa ni mtutu kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…