Hivi hawa wasaidizi wa Rais huwa wanafanyiwa "vetting" na idara za usalama kabla hawajapewa kazi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi?

Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa juu ya hili kwani nimeona Hatari fulani mahala fulani na naogopa.
 
Hao ni watu watiifu/wandani wa rais nje ya mfumo rasmi, hawafanyiwi vetting na mtu yeyote. Hawa ni tofauti na chawa, uaminifu baina yao na rais ni wa tangu na tangu
 
Huwezi ukawa office kubwa bila vetting mkuu!!

Labda ukosoe uwezo wa wanaofanya vetting!jambo ambalo no kukosa heshima kwa idara ki maadili!
 
Naomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi?

Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa juu ya hili kwani nimeona Hatari fulani mahala fulani na naogopa.
Umeona hatari gani mkuu
 
Hao ni watu watiifu/wandani wa rais nje ya mfumo rasmi, hawafanyiwi vetting na mtu yeyote. Hawa ni tofauti na chawa, uaminifu baina yao na rais ni wa tangu na tangu
20% ndio ipo hvy ila asilimia kubwa kuna watu wanaandaliwa
 
TISS ni lazima wabadilishe Mifumo yao yote kabisa, ikiwemo na kubadilisha utaratibu Wao wa RECRUITMENT ya Maafisa wao.

Hili ni jambo la lazima kabisa ambalo haliwezi kuepukika kwa Sasa katika Idara hiyo.
Ni Lazima Wabadilike ili kuendana na Mahitaji halisi ya Dunia ya dunia ya Sasa.

Mamlaka Kuu ya Ujasusi ya Marekani ya CIA Baada ya Mashambulizi makali Sana ya kigaidi yaliyofanyika katika Kituo Kikuu Cha Biashara Cha Dunia (WTC), Pentagon, n.k hapo tarehe 11 Septemba 2001, CIA walikiri kwamba kulikuwa na Mapungufu makubwa Sana kwenye Mifumo ya Utawala, Mifumo ya Kuajiri Maafisa wa Taasisi hiyo na kwenye Mifumo ya Kiutendaji ndani ya CIA hali ambayo ilisaidia Sana kutoa mwanya kwa Magaidi wa Al Qaeda chini ya Osama bin Laden kuweza kuishambulia Marekani kwa urahisi Sana.

Baada ya mashambulizi hayo ya kigaidi ya September Eleven, CIA ilifumuliwa na kisha kusukwa tena upya. Kwa sasa, Maafisa wa Idara hiyo ya CIA Wanaajiriwa kwa utaratibu wa kutoa Matangazo ya Ajira zao kwenye vyombo mbalimbali vya Habari. Hii inawasaidia kutoa wigo mpana zaidi wa kuwapata Watu/ Waajiriwa mbalimbali walio sahihi zaidi, wenye weredi katika fani tofaufi tofaufi wakiwa na mitazamo tofaufi tofauti kinyume na hali ilivyokuwa hapo awali kabla ya mashambulizi ya 'September Eleven.'
 
Back
Top Bottom