GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa juu ya hili kwani nimeona Hatari fulani mahala fulani na naogopa.
Umeona hatari gani mkuuNaomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi?
Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa juu ya hili kwani nimeona Hatari fulani mahala fulani na naogopa.
Matusi makubwa hayaWengi wapo Kama yule jamaa anayejiita POPOMA aliyeumizwa na Bwana cherehani.
Usengesenge mwingi yaan babayako nani?Hamna cha vetting wala nini,kuna kuchomekana tu
Ova
20% ndio ipo hvy ila asilimia kubwa kuna watu wanaandaliwaHao ni watu watiifu/wandani wa rais nje ya mfumo rasmi, hawafanyiwi vetting na mtu yeyote. Hawa ni tofauti na chawa, uaminifu baina yao na rais ni wa tangu na tangu
Naomba kujua hivi hawa mnaowaita sijui right handman / woman wa Marais duniani huwa wanakuwa 100% well Vetted na Idara za Usalama wa Taifa za nchi?
Nitashukuru sana nikijibiwa na hata Kuelemishwa juu ya hili kwani nimeona Hatari fulani mahala fulani na naogopa.
20% ndio ipo hvy ila asilimia kubwa kuna watu wanaandaliwa
Hao ni watu watiifu/wandani wa rais nje ya mfumo rasmi, hawafanyiwi vetting na mtu yeyote. Hawa ni tofauti na chawa, uaminifu baina yao na rais ni wa tangu na tangu