BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Niko nashuhudia hapa huyu msemaji wa Yanga akikabidhiwa pesa za mheshimiwa Rais km ahadi yake ya Kila goli, haya maneno anayoongea kuhusu wapinzani wao Simba siyo ya kizalendo. Yani Hana utofauti na yule mtangulizi wake aliyepigwa ban na TFF.
Hivi hawa wasemaji wasipotoa maneno ya shobo huwa hawaeleweki. Ni roporopo sn, hasa huyu bwana mdogo mwenye mawani duuuuu. Mwenzake wa Simba akitoa neno moja tu juu ya Yanga utaona comments nyingi za kumponda.
Huyu dogo km timu yake ndiyo ingekuwa club bingwa hatua hii na tena Kwa kuwafunga Wydad (bingwa mtetezi) angekuwa halali nyumbani badala yake angekuwa analala ofsini pale jangwani.
Lakini mimi naona tuwaache tu wapararuane.