Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nyakati hz kuolewa ni bahat, hvyo wanaenda kwa wachungaji kusafisha nyota ya bahat ili nawao cku 1 wabahatike.
Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?
Mkuu Senetor, we umeoa?Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?