AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Wa WASAFI FM SPORT ARENA anaitwa MWANAIDI SULEIMAN
Wa E-FM SPORTS HQ anaitwa TUNU HASSAN.
Yaani hawa wakiongea ni SHUDU TU... Hata vile wanavyojaribu kuchokoza mada... Wanashindwa hata kujenga hoja.
Kiasi kwamba mimi nahisi kazi yao ni kubalance muda wa kipindi na matangazo... Na wako makini sana na matangazo.
Sijui kazi yao ni kuremba kipindi na visauti vyao au ni nini? Yaani hamna kitu wanajua kuhusu hata michezo yenyewe.
Watupu watupu, shobo shobo... Maswali wanayouliza hayana kichwa wala miguu... Ovyo kabisa... Sijui ninyi mnawaelewaga?