AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Tena siku hizi wanasema wanaweza bila kuwezeshwa.Washasema wanaweza, na wawezeshwe.
Umemalizaaaa, heshima kwako mkuu[emoji122][emoji122].Usawa wa jinsia ... vumilia..ajira zenyewe hakuna ..usiwaharibie....
Wata improve miaka inavyoenda
Hii usawa inaharibu quality kweli... Mbona akina dada wengine wengi mtaani wanalijua soka... Au ni michongo na rushwa.Usawa wa jinsia ... vumilia..ajira zenyewe hakuna ..usiwaharibie....
Wata improve miaka inavyoenda
Na mimi niliwaza hivyo hivyo...Bora Tunu kuliko Mwanaidi!
TakbiiiirUsawa wa jinsia ... vumilia..ajira zenyewe hakuna ..usiwaharibie....
Wata improve miaka inavyoenda
Huyo mwanaidi suleiman aende kwenye kipindi cha mchana kinachofuata... Sio kila kile ambacho wanaume wanafanya na wao wanawake wafanye...Nafkri waliajiriwa kwa ajili ya ku make balance ya uwepo wa wanawake wanao sikika kwenye mic. Ila Bora tunu kidogo
Usipende amani wakati wa vita utakufa mapema.Punguza chuki utakufa mapema
Kabisa yule mwanaidi ndo mtupu mtupu kichwani boksi kbsa,..kujenga hoja sifuriNa mimi niliwaza hivyo hivyo...
Acha kuwa mweupe dada gani analijua soka mtaani Hawa wakina Kai au? Mwanaume kuwawaza kina Dada ni udadaHii usawa inaharibu quality kweli... Mbona akina dada wengine wengi mtaani wanalijua soka... Au ni michongo na rushwa.
Yeye ni mtangazaji unataka ajenge hoja gani? Wachambuzi si wapo? Yeye anakuleta habari wachambuzi ni wengine.kwanza wewe hujui tofauti Kati ya mtangazaji na mchambuzi wa michezoKabisa yule mwanaidi ndo mtupu mtupu kichwani boksi kbsa,..kujenga hoja sifuri
Hapo pia kuna MKULE... Kwenye hiko kipindi namfuata Edo kumwembe, ambangile, GEORGE JOB NA nasri khalfan.Kabisa yule mwanaidi ndo mtupu mtupu kichwani boksi kbsa,..kujenga hoja sifuri
Wewe ndio umedandia treni kwa mbele...Yeye ni mtangazaji unataka ajenge hoja gani? Wachambuzi si wapo? Yeye anakuleta habari wachambuzi ni wengine.kwanza wewe hujui tofauti Kati ya mtangazaji na mchambuzi wa michezo