Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I second youNipo hapa nangojea ufafanuzi/ tafsiri
Umeongea kwa hasira sana. Hebu ongea kwa utulivu tukuelewe.Na bado ipo siku hata Nyie mtapigwa Bei tu. Sisi Mijitu myeusi akili mbovu sana sana maaana tupo tayari kuuuza Utu wetu kwa Vipande vya Faranga.
Wangapi tulikuwa tunasapoti Nyaraka za UJINGA WA AMSTERDAM? Narudia kusema hiviiiii HATA HAPA TANZANIA KUNA WATU INATAKIWA TUWASAFIRISHE WAUZWE KWENYE SOKO KULEE LIBYA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Watu waaju sana wana roho mbaya
Shetani ananafuu, awajui kwamba kuna MUNGU
======
HATA HAPA TANZANIA KUNA WATU INATAKIWA TUWASAFIRISHE WAUZWE KWENYE SOKO KULEE LIBYA