mkuu unafatilia habari kweli?hasa huyo?.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.
Uwiiiiiiiie auwiiiiiiiiiiieeee yeuwuiiiiiiiiiii auuuuuuwiiiiiiiiiee jamani nini kilimuua?Mez b alifarki R.I.P bro
1.O ten mzee wa ebu nicheki
2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka
3.Kalapina
4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?
5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?
6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.
7.Mzee wa Umbo namba nane.
8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.
9.Bushoke (Bwege).
10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo
11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?
maamuzi ya MUNGU tu hayo wala usiumize kichwaUwiiiiiiiie auwiiiiiiiiiiieeee yeuwuiiiiiiiiiii auuuuuuwiiiiiiiiiee jamani nini kilimuua?
Yeuwiiiiiiiii auwiiiiiiiii yeuwiiiiiiiimaamuzi ya MUNGU tu hayo wala usiumize kichwa
Alishakufaga ndio lugha gani? Usiwe unaandika Kimbulu humuMez B si alishakufaga?
TIME, its just a right definition of anything .Their music shelf life has gone1.O ten mzee wa ebu nicheki
2.Crayz GK mzee wa sauti wa manka. thei
3.Kalapina
4.Bwana misosi mzee wa nitoke vipi?
5.Yule bwana mwenye rasta kwenye wimbo wa bwana misosi nitoke vipi?
6.Siwema ambaye aliwachanganya wasanii kibao mpaka kupelekea kumwiimba.
7.Mzee wa Umbo namba nane.
8.Mez B mzee wa kikuku cha mama Rhoda.
9.Bushoke (Bwege).
10.Yule mzee wa mabinti wa kibongo
11. Na wengine wengi wa enzi hizo ningependa kujua wako wapi siku hizi?