moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
timu yetu tumemkabizi manjiKwani hawa viongozi wa Yanga walikuwa hawajui kwamba wanatakiwa wafanye uchaguzi? Lazima wawepo viongozi halali waliochaguliwa kulingana na Katiba ya Yanga.
Huyu Bwana Manji ndio kikwazo cha kukua kwa soka hapo Jangwani. Kwanza ahadi zoote aloahidi hakuna hata moja aliyotimiza, sana sana anaitumia Yanga kama jukwaa la kuonewa huruma kwenye vibiashara vyake vya kimagumashi.timu yetu tumemkabizi manji
Huyu Bwana Manji ndio kikwazo cha kukua kwa soka hapo Jangwani. Kwanza ahadi zoote aloahidi hakuna hata moja aliyotimiza, sana sana anaitumia Yanga kama jukwaa la kuonewa huruma kwenye vibiashara vyake vya kimagumashi.
Kama hamjashtuka mtaibiwa sana na sioni kiongozi anayeweza kumfikia Tabu Mangara Tabu.
Mjomba hakuna kitu kinachowaumiza kichwa wengi kama ujenzi wa Uwanja wa Jangwani, ile ni ahadi na anatakiwa aitimize!ahadi ya manji ilikuwa
1) kuleta umoja kwa wanachama na viongozi
2) wanachama kuheshimu mamlaka na wachezaji wao
3) kuhakikisha shughuli za kilabu zinafanyika kwa wakati
jambo lake la uwanja ni mapenzi yake tu mwenyewe
hayo mengine ameshafanikiwa kwa asilimia 100
tunamuombea kila la kheri