Hivi hawa watu wanajadili mambo gani hapo msibani hapo Kenya kwa RAO?

S.M.P2503

Platinum Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
3,689
Reaction score
7,145
Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.

 
HApo anamsendia pesa kiongozi wa watekaji, kumbuka lengo lao ni wale kimya kimya chini ya huyu mama waliyemuweka mtu kati!.
Watz twaafa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…