Nimejiuliza tu, mtu anaenda kwenye mkusanyiko bila wasi wasi kabisa, hajanawa mikono, hana barakoa wala sanitizer! Hivi kama anaweza kuwa na ujasiri huu kutokuvaa kitu kinacholinda maisha yake na ya wengine. Je, huyu anaanzanje kuvaa condom kwa mfano?