Hivi hawakuangalia hili la tozo kwa wafanyakazi?

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2021
Posts
484
Reaction score
545
Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia
 
Rasimu ya warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya!
Lengo ni kuwafanya WATUMISHI wawe na mgomo baridi wa kikazi Ili kuiangusha serikali KWA utendaji MBOVU kisha mama akose sifa za kuongoza NCHI!!

Mwigulu anafanya kama alivoelekezwa na wenyewe!

Tusubiri!
 
Kwa hiyo unataka kubishana na Dokta wa uchumi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…