Mkuu, wengine tuliposikia Mabeho anasema kuwa wao ndiyo walisimama kidete kuhakikisha kuwa katiba inafuata na Samia anaapishwa tulisikitika sana. Samia tulikuwa tunajua kabisa hana uwezo na ni fisadi anayeweza kutumia na mataifa mengine.Yaani ndugu zangu nguvu aliyokuwa nayo Mama samia na Kikwete ni tofauti na tunavyofikiri,tukiishindwa kuikomboa hii inchi tunaenda kuwa kama Congo,hebu fikiri linaretwa jeshi kutoka inje ili kuja kuuwa Raia wanaoandamana ambao ni Watanganyika,
Uongozi wa juu umejaa Wazanzibar wenye damu ya Omani ndiyo wanaosema Tanzania kuko shwari,Waarabu ndiyo haohao walioingia mikataba ya mamilioni ya pesa na Serikari ya Mama samia,Naomba kama wewe unadamu ya Tanganyika sema hapana hatukubariani ,hebu fanya chochote kwa ajili ya kuikomboa Tanganyika siyo Tanzania tena,yuko wapi Mabeyo ndiyo aliyetusababishia yote haya r.i.p Ndungaye hata kama alikuwa na mapungufu yake nazani kama angekuwa mzima leo hii tungekesha kulia naye,tunauzwa jamani tunauzwa tena kweupe
Huo ndiyo ukweli ukae ukijua wametuingiza mpaka kwenye Udini lakini hatutaki tufike huko ndiyo maana utaona watu wanasema mnamuonea sababu ni Muisilamu? Yawezekana hata mimi ni Muisilamu lakini Mtume Muhammad (S.A.W) binamu yake Ally na aliyemuozeshe mtoto wake kipenzi chake Fatma amepitia katika matatizo kama haya baada tu ya kufa Mtume mpaka akaamua kujitenga na kwenda kuishi katika mji wa Kufa,nadhani Waisilamu wanaijui hii hadithi vizuri kabisaHaya mambo ya utanganyika na ubara hii narratives sio nzuri.
Mama ni rijizi tu na genge lake lina wabara na watanganyika (tena hawa ndio wengi).
Na kuna maafisa wa usalama kutoka Zanzibar ni wazalendo kwa Tanzania na Tanganika; kuliko corrupts waliozaliwa bara.
Hussein Massoro ni mzanzibari na hakudumu muda mrefu kama DGIS kwa sababu aliweka maslahi ya nchi mbele. Vilevile kuna wanajeshi kutoka visiwani Tanzania kwanza.
Huyu mama ana genge tu la wahuni mchanganyiko wa watu wa bara na visiwani.
Lakini sio kutaka kujenga hizi narratives za chuki zisizo uhalisia, Samia na genge lake la wahuni ni isolated na sisi watanzania kwa ujumla wetu.
Hao majaji wanaomnyima Lissu haki yake ni wazanzibari?Huo ndiyo ukweli ukae ukijua wametuingiza mpaka kwenye Udini lakini hatutaki tufike huko ndiyo maana utaona watu wanasema mnamuonea sababu ni Muisilamu? Yawezekana hata mimi ni Muisilamu lakini Mtume Muhammad (S.A.W) binamu yake Ally na aliyemuozeshe mtoto wake kipenzi chake Fatma amepitia katika matatizo kama haya baada tu ya kufa Mtume mpaka akaamua kujitenga na kwenda kuishi katika mji wa Kufa,nadhani Waisilamu wanaijui hii hadithi vizuri kabisa
Sawa na haya yote yanatokea baada ya kufa Magufuri yaani Wanzanzibar ni wanufaika wakubwa kupitia huyo Samia na wanafurahi sisi wabara tufe kama tulivyowauwa wao kipindi cha Mkapa,upende usipende huu ndiyo ukweli
Mimi nitabaki kama Mtanganyika na nitakufa juu ya Tanganyika yangu,Suala la Dini kwangu haliniumizi kwani Mimi mwenyewe nilikuwa mkristo na sasa hivi ni Muisilamu ila nasimamia haki siwezi kukubali upuuzi wa mashekhe wanaoniambia nikapige kura katika uchaguzi usiokuwa huru na haki kwa hiyo nasimami ukweli wanguHao majaji wanaomnyima Lissu haki yake ni wazanzibari?
Hussein Massoro alietolewa nafasi ya DGIS kwa kukataa uharabifu wa nchi katokea wapi?
Embu achana na kazi ya kupika sumu
Ukweli wako una ‘observation bias’ genge la wahuni lina watanzania wa groups zote.Mimi nitabaki kama Mtanganyika na nitakufa juu ya Tanganyika yangu,Suala la Dini kwangu haliniumizi kwani Mimi mwenyewe nilikuwa mkristo na sasa hivi ni Muisilamu ila nasimamia haki siwezi kukubali upuuzi wa mashekhe wanaoniambia nikapige kura katika uchaguzi usiokuwa huru na haki kwa hiyo nasimami ukweli wangu
Hivi JJ Nkunda ni wa Visiwani? Kwa ninavyojua mnadhimu mkuu wa Jeshi ni classmate wa Kombo na ni wa visiwani pia. Ndio maana JWTZ na munadhimu mkuu wao wanapata kigugumizi kutekeleza Jambo la Gen Z…
Dami nzito kuliko maji…
Yaani ndugu zangu nguvu aliyokuwa nayo Mama samia na Kikwete ni tofauti na tunavyofikiri,tukiishindwa kuikomboa hii inchi tunaenda kuwa kama Congo,hebu fikiri linaretwa jeshi kutoka inje ili kuja kuuwa Raia wanaoandamana ambao ni Watanganyika,
Uongozi wa juu umejaa Wazanzibar wenye damu ya Omani ndiyo wanaosema Tanzania kuko shwari,Waarabu ndiyo haohao walioingia mikataba ya mamilioni ya pesa na Serikari ya Mama samia,Naomba kama wewe unadamu ya Tanganyika sema hapana hatukubariani ,hebu fanya chochote kwa ajili ya kuikomboa Tanganyika siyo Tanzania tena,yuko wapi Mabeyo ndiyo aliyetusababishia yote haya r.i.p Ndungaye hata kama alikuwa na mapungufu yake nazani kama angekuwa mzima leo hii tungekesha kulia naye,tunauzwa jamani tunauzwa tena kweupe
Wewe jamaa ni mjinga sana,watu kama wewe mnaoingiza ukabila na udini muda huu,mnatakiwa mpigwe vita na kila mtu,unafikiri hao Gen Z waliopo mitaani hakuna waislamu?Huo ndiyo ukweli ukae ukijua wametuingiza mpaka kwenye Udini lakini hatutaki tufike huko ndiyo maana utaona watu wanasema mnamuonea sababu ni Muisilamu? Yawezekana hata mimi ni Muisilamu lakini Mtume Muhammad (S.A.W) binamu yake Ally na aliyemuozeshe mtoto wake kipenzi chake Fatma amepitia katika matatizo kama haya baada tu ya kufa Mtume mpaka akaamua kujitenga na kwenda kuishi katika mji wa Kufa,nadhani Waisilamu wanaijui hii hadithi vizuri kabisa
Sawa na haya yote yanatokea baada ya kufa Magufuri yaani Wanzanzibar ni wanufaika wakubwa kupitia huyo Samia na wanafurahi sisi wabara tufe kama tulivyowauwa wao kipindi cha Mkapa,upende usipende huu ndiyo ukweli
Shida ni mfumo wa kuendesha siasa za nchi, hasa uchaguzi tunahitajia mfumo mpya. Kumtaja mtu mahsus kama tatizo ni kutafuta majibu mepesi. Kwa hio unadhani mgombea asingekuwa SSH ndio haki ingetendeka na yale madai ya haki za kisiasa yasingekuwepo?Huo ndiyo ukweli ukae ukijua wametuingiza mpaka kwenye Udini lakini hatutaki tufike huko ndiyo maana utaona watu wanasema mnamuonea sababu ni Muisilamu? Yawezekana hata mimi ni Muisilamu lakini Mtume Muhammad (S.A.W) binamu yake Ally na aliyemuozeshe mtoto wake kipenzi chake Fatma amepitia katika matatizo kama haya baada tu ya kufa Mtume mpaka akaamua kujitenga na kwenda kuishi katika mji wa Kufa,nadhani Waisilamu wanaijui hii hadithi vizuri kabisa
Sawa na haya yote yanatokea baada ya kufa Magufuri yaani Wanzanzibar ni wanufaika wakubwa kupitia huyo Samia na wanafurahi sisi wabara tufe kama tulivyowauwa wao kipindi cha Mkapa,upende usipende huu ndiyo ukweli