Hivi haya magari yanatangazwa kwenye mitandao hizi ndio bei zake kweli?

Hivi haya magari yanatangazwa kwenye mitandao hizi ndio bei zake kweli?

Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
25,874
Reaction score
36,030
Hebu ona kama haya..
3a65e5f012f40fbd6df7e49f069cf433.jpg

Au hizo bei ni huko kwao Japan?
 
Hapo ukiisafirisha hadi Tanzania ongeza USD 1000 hafu kodi sasa bandarini kuitoa mbona utachoka.

Baada ya kuona gari online, angalua bei yake CIF ambayo ndio bei inayojumlisha hadi usafiri kufika port ya DSM kisha chukua specifications za iyo gari nenda website ya TRA kwenye calculator tools ujue ushuru utakao lipia. Kiwango utakachopata cha ushuru jumlisha na ile beinya CIF. Hapo ndio bei ya gari yako ata ikizidi haitazidi laki 2.
 
kwa hiyo bora kununua ndinga kwa mtu?
 
aah hzo bei mbona kubwa , Japan kuna gari zinauzwa hadi dola 100 yaani Tshs.;220,000
- issue ni kuitoa huko kuileta hapa bongo
 
bandari wanauza magari bei kali kuliko hata mjapani aliyeyatengeneza.
Ni kwa sababu ya mentality za kishamba, wanaona magari kama ni ufahari au kitu cha anasa sana. Akili zikikaa sawa upuuzi wote huu wa watunga sheria utapotea.
 
Ni kwa sababu ya mentality za kishamba, wanaona magari kama ni ufahari au kitu cha anasa sana. Akili zikikaa sawa upuuzi wote huu wa watunga sheria utapotea.
Nafikir ni mpango wa wapanga sera za Dunia iwezekan nchi zote maskini wakafanana akiri, fikiria miundo mbinu yetu ilivo kila kaya kama ikiwa na magar 2 au matatu ingekuwaje
 
Hili swali Mimi mwenyewe huwa najiuliza sana daily. Naona bei ziko chini saaana kuliko hali halisi
Kuna wkt huwa wanafanya 'clearance', gari zinauzwa hadi dola 50, kulisafirisha dola 800, bima dola 70, ukaguzi dola 200-300, hapo unapata jumla hadi linafika TZ. Kifuatacho, ushuru wa TRA. Bila kusahau gharama za bandari na wakala wa kulitoa. Unajikuta unacheua jumla milioni 7.5-10 kwa gharama yote.
 
Back
Top Bottom