Hivi haya mahusioano ya kimapenzi ya wana jf ni ya kweli au mzaha ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Huwa napitia baadhi ya maoni ya wadau kadha wa kadha na kuona ishara ya watu kuwa wapo kwenye mahusiano. Swali je huwa ni ya kweli au mizaha ya kusogeza siku tu... ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka,umenikumbusha jambo,huwa najiuliza hivi watu humu huwa wanjuaje kama fulani amebadilisha utambulisho (ID). Hili somo huwa nalihitaji sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya utambuzi wa vitu vya kawaida kuna tofauti kubwa sana kati ya mgeni wa jf na mwenyeji wa jf kuanzia lugha hadi upangaji wa maneno yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…