Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache sana huwa wanadumu na kuona,nafikiri ni 8% tu ya hao wote unawaona.
Mkuu kati ya 8% zako hizo nami nimo make nimekuwa na mahusiano na binti mmoja toka 2007 mpaka leo, 2nategemea mwakani 2nafunga ndoa na pete ya uchumba nimeshamvalisha. Kipindo 2nameet, yeye ndo alikuwa amemaliza A-level pale Msalato nami nikiwa 2rd year. Akaingia Mlimani akamaliza bachelor yake huku mie nikiwa nimemaliza kitambo ila kazi nilikuwa sijapata. Basi bibie kanivumilia s/time alinisitiri na bumu lake, last year ndo nikapata kazi, so, now mambo sio mabaya naona 2uungane kisheria naye nimemtafutia kazi anajitegemea. Ila college love linahitaji uvumilivu sana ndo maana walio wengi haliduma coz kati yao wanapendana kimaslahi tu, nasi 2livumiliana, nampa Big up! Zawadi yake ngoja nimweke ndani 2faidi matunda ya uvumilivu.