Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo bwana mnyongeni
Epoxy material yanapatikana.Ni Moja ya construction material ambayo tumeigroup kama flooring coatings,ziko material kama admixtures,waterproofing material n.k.Kama ni muhitaji wa hizo material njoo Tazara ndani ya kiwanda cha Bora karibu na tcc ulizia Somochem
Mkuu hizo materials zinapatikana, ukitaka kupata na fundi kabisa wacheki NaBAKI Africa hapo Mikocheni, Somochem hapo Buguruni Tazara kilipo kiwanda cha Bora au wacheki Tata holdings hapo Vingunguti.Mkuu nahitaji hii material na fundi wa kuweka, je wapi naweza kupata.
Nataka kuweka kwa ajili ya ngazi
Nashukuru sana kwa msaada wako, nitawacheki.Mkuu hizo materials zinapatikana, ukitaka kupata na fundi kabisa wacheki NaBAKI Africa hapo Mikocheni, Somochem hapo Buguruni Tazara kilipo kiwanda cha Bora au wacheki Tata holdings hapo Vingunguti.
NABAKI Africa wako njema zaidi ila muhimu kufanya comparison ya bei.Ila kuwa makini kwa kucheki expiring date ya hizo materials vizuri.Nashukuru sana kwa msaada wako, nitawacheki.
Yupi kati ya hao unanishauri ni wazuri