Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Hivi Haya ni halali kwa Diamond?

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
Mimi naamini kuwa kuna wakati Watanzania tunatatizo la kutenganisha ushabiki wa kisiasa na ushabiki katika vitu vingine.
Pamoja na kuwa kuimba ni kipaji lakini ni zawadi toka kwa Mungu, na ndio maana sio kila mtu anaweza kuimba.lakini ni rahisi sana kusifia au kuponda kazi aliyoifanya mtu mwingne.

Sitaki kusema Diamond yupo sahihi kwa baadhi ya shutuma zinazo ongelewa kumhusu,laa hasha bali nataka kusema kuna wakati tunapaswa kujua Diamond ni mtanzania na amesimama kama mtanzania kuwaakilisha tulio wengi.kwa namna anavyoishi kimziki na hata maisha yake ya kawaida.

Kama anaimba na kucheza vizuri asifiwe na aambiwe aongeze bidii,kama anajiskia,na kuwa na dharau bado hii haitufanyi kumkana na kuona ati hatufai kama wengi tulivyojikuta tunamzomea na kisha kumfanya aonekane sikitu mbele ya watu.mbona hivyo vitu havihusiani na kazi yake.

Hayo ni maisha yake bnafsi na madhara yapo kwake mweneyewe na maisha yake ya kawaida.

Na dhana hii ya kumfanya Ali kiba aonekane ni msanii bora kuliko Diamond ibaki kuaminika hivyo!!! Kwasababu si dhambi,lakini si lazima lifanyike kwa kupitia Diamond...

Hapa ndipo ninapowalaumu watanzania kuwa mmeshindwa kutofautisha ushabiki wa kisiasa na ule wa kimziki!?,kwani Alikiba hawezi kusifiwa bila kumtaja Diamond,nadhani hapa kuna udhaifu kimantiki!!!
kwamba tunataka kuaminishwa kuwa huwezi kujua kipi bora kama huna cha kulinganisha nacho?..,lakin si mazingira yana sadifuna kusema kiasi kwamba hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kias hiki,kumzomea kumponda kwenye mitandao ya kijamiina hata kumkweza mmoja na kumshusha mwingne kwa sabab ya hira tu!.

Kwa maneno rahisi Anavyoimba Alikiba ni tofauti na anavyo imba Diamond na kila mmoja anamashabiki wake.Kwa mantiki hiyo hiyo si busara mashabiki wa Diamond kumzomea Alikiba na si busara pia mashabiki wa Alikiba kumzomea Diamond.mim binafs naweza kusema huo ni ushamba na hali ya kukosa mwelekeo kiushabiki.

Ni mtazamo tu kwani hili leo limemtokea Diamond,si ajabu kesho likatokea Alikiba.tutawaathiri vijana wetu kisaikolojia badala ya kutuburudisha kisasa na kujiajiri tutawafanya warudi kutukaba mitaani.

Naamini alichofanyiwa Diamond si halali na hata wakati anashangiliwa siku za nyuma Alikiba hajawahi kuzomewa,na hata hapa niseme haitakiwi azomewe!,bora kutomshangilia kuliko kuzomea msanii bila sabab maalum,kwani atakuja kujua tu kuwa kakosea mahala fulani hata asipozomewa!.

Asanten.
 
Alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake kulala. Hivi kweli hata Hill View haimfai kwa accomodation pale Mbeya? Au ndo yale kwamba lazima iwe na lift?

Dogo kawa limbukeni na dharau sn,sijui wema kamharibu?
Kweli domo wa Kg leo hii anasema hakuna hotel yenye hadhi ya kulala yeye? kaaa! maskini mkoa wangu!!!
Twende mbele ya safari domo,pia kumbuka hujawa vizur kimashabiki kama ilivyokuwa kwa Juma nature na pengine kama ilivyo mpaka leo hi.
 
Alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake kulala. Hivi kweli hata Hill View haimfai kwa accomodation pale Mbeya? Au ndo yale kwamba lazima iwe na lift?

Mlivyokazania hilo la mbeya khaa inaonyesha wazi hamna sababu ya msingi ndio maana nmabak na hlo hilo....me naungana na mtoa mada hakukua na sababu mashabik.wa kiba kumzome diamond ni ulimbukeni wa ajabu...ila what goes around comes bak so hyo kiba wenu ajiandae as long as nae yupo kwenye nchi iliyojaa watu wanafiki,wenye wivu kupindukia wasio penda maendeleo na vigeugeu mi yangu macho mbona
 
Dogo kawa limbukeni na dharau sn,sijui wema kamharibu?
Kweli domo wa Kg leo hii anasema hakuna hotel yenye hadhi ya kulala yeye? kaaa! maskini mkoa wangu!!!
Twende mbele ya safari domo,pia kumbuka hujawa vizur kimashabiki kama ilivyokuwa kwa Juma nature na pengine kama ilivyo mpaka leo hi.

pole sana kaka
mkodieni ndege
team mavimavi wamepagawa hao sijui walitaka azomewe nani
 
Alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake kulala. Hivi kweli hata Hill View haimfai kwa accomodation pale Mbeya? Au ndo yale kwamba lazima iwe na lift?

Embu tukae na kujadili vitu kama wasomi no reseach no right to speak,binafsi sijamskia akitamka maneno hayo.. na kama alisema yamkini hatujui alisema katika mantiki ipi?,

so tukimozoea ndio tutamfanjya alale mbeya?...nadhani tutofatishe kufuata mkumbo na kuamua kumchafua mtu ati kwa sabab za mageztini.mbona watu wengi sana walishafanya na hata kutamka vitu vya ajab lakin kuzomea si jibu,angezomewa mbeya ningesema labda kweli lakin kazomewa hapa dar..hizi ni hira tu tulizoumbiwa watanzania

Ndio maana hadi sasa nikikuambia kwann alizomew hakna sabab yyte ya msing,wengne mara anajskia,wengne allisema hawez kulala mbeya ,je ni kweli?..na kama that his stand will we change him through shouting..me natoka mbeya bt sioni kama kusema haoni hotel ya kufkia kwa sabab zake yeye bas asfke haina shda kwani hata nikimzomea stmfanya angie kwenye hotel ya kwetu...mligieni simu atawaelewa!!!!bt shouting ni kumfanya atunge wimbo mtakao kuja kusema kaenda tena kwa mganga maana watz bna
 
Hivi kuzomewa kwa wasanii kumeanza kuuma baada ya Diamond kuzomewa eee? Mbona kina GK na wengine wengi walikuwa wanazomewa na Muziki unaendelea kama kawaida. Tena kuna watu wanasema eti Kiba alikodi watu wamzomee Diamond, hii hainiingii akilini. Tukubali tu kuwa upepo haukua kwa Diamond kwa siku hiyo. Bado naamini Daimond ni msanii mzuri ila kuzomewa kwake isiwe gumzo la kuona yeye ndiye anayehitaji Shangwe kila siku na wengine ndio wanahaki ya kuzomewa. Hapa kulingana na hizi thread zinazotililika kama mvua inaonesha kua watu walipenda kuona Kiba anazomewa ndipo wafurahi lakini imekua tofauti.
 
kaka mchina tu hyu ningekupa like
halafu si wangeenda kumshangilia wao sasa km wanampenda
walioenda pale ndo wanauchaguzi wamshangilie nani
mijitu imekaa tu kuanzisha threads si mngeenda km mlitaka asizomewe
 
hakukua na sababu ya kumzomea mtu, msanii umpendae kapanda stejini shangilia binuka, kapanda usiempenda kaa chini vuta pumzi washangilie wengine. vipi wewe??

ye ndo wa kwanza mi nshaona wasanii 3times wanazomewa kwenye concerts EAST COAST,WANAUME FAMILY NA DULY
WHO THE HELL DIAMOND ISSS....??!!
 
KWA NINI ALIKUA ANATAJA Kinondoni na Temeke tu ILALA wamemkosea nini?

watu wangu wa TMK na Kinondoni...........................
 
Mbona mimi sijaona shida Diamond kuzomewa na mashabiki sababu mashabiki hao hao kesho watakushangilia.
Mfano Kipindi kile maskimo na team ya taifa walimzomea sana kaondoka kdg wakaanza kumkumbuka,Jaja wa Yanga alipofunga 2 kwa Azam kila mtu Jaja Jaja sasa hivi muda sio mrefu wataanza kumzomea.
Hiyo ndiyo nature ya mashabiki sio bongo tuu hata ulaya unazomewa na Diamond watamzomea sana kwani yeye anapoteza nini akiandaa show watu wanajaa mpaka wanataka kuuwana.Yeye akitaka kupendwa amsubiri mama yake sio washabiki kule ni ngawira tuu.Wakisusia show hapo ndio astuke sasa ila zomea zomea aaaah .......?
 
Yani sijui unaongea nini tu.Diamond angekuwa na busara asingeweza sema mbeya hakuna hotel ya hadhi yake ni public as long as katokea kwenye maisha magumu.Kwa hiyo anataka ajikwaze mbele ya macho yetu ili hali tunajua si chochote?Mshaurini apunguze dharau ili siku nyingine tusimzomee
 
Alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake kulala. Hivi kweli hata Hill View haimfai kwa accomodation pale Mbeya? Au ndo yale kwamba lazima iwe na lift?

Kwa hiyo issue si kwamba Ali Kiba ni bora kuliko Diamond kimziki, bali Diamond ana dharau tuu?
 
Back
Top Bottom