Mkuu hizi nondo mnazoshusha humu hamtutendei haki wakazi wa Nyarugusu, Kiwalani, Itigi na Mbauda.Muandishi, mwanafalsafa na mwanaharakati wa Ukomunisti Rosa Luxwmburg aliandika hivi.
"Before a revolution happens, it is perceived as impossible; after it happens, it is seen as having been inevitable".
Hakuna kitu kibaya kama ulevi wa madaraka. Mtu anakuwa yuko kwenye hali nyingine kabisa kabisa... hasa mtu mwenye akili ndogo bila elimu.Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini watawala walizidisha kiburi
Kinachofwata sasa yatakuwa mauaji kwa famiria zao eiza iwe wao au huko mikoani na Vijijini kwa ndugu zao, kama hawatayamaliza haya mapema maana wanainchi wanazidi kupata hasira
Wangejuaje wakati Mwenye Enzi Mungu (muumba Mbingu na dunia na vitu vyote vinavyooneka na visivyooneka) aliwatia upofu...wakapigwa limbwata toka kiti cha Enzi na sasa hawajui watatokaje kwenye hilo shimo walilo jichimbia wenyewe? Ni lazima waliingie kwa maana wamelichimba wao...Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini watawala walizidisha kiburi
Kinachofwata sasa yatakuwa mauaji kwa famiria zao eiza iwe wao au huko mikoani na Vijijini kwa ndugu zao, kama hawatayamaliza haya mapema maana wanainchi wanazidi kupata hasira
Watu wamechoma nyumba zake huko BundaWasira huko aliko sijui anasemaje?
Hakuna kitu kibaya kama ulevi wa madaraka. Mtu anakuwa yuko kwenye hali nyingine kabisa kabisa... hasa mtu mwenye akili ndogo bila elimu.
Huu ndiyo wakati muafaka wa kukiweka kando au kukizika kabisa ibaki historia kama KANU..sasa hivi Ccm watakuwa wanawapigia magoti Polisi wawasaidie.
..kabla mambo hayajaharibika walikuwa wakiwakoromea na kuwanyanyasa Polisi.
Kuna wengine wakuitwa the big show na kibibi faizafox, sijui wana hali gani🤣🤣Kwa hili liwe fundisho hata kwa wapuuzi wa humu akina mwashambwa na TAKATAKA zingine zilizokuwa zikiusifu na kuuabudu utawala wa laana wa samia. Hata wakiforce kuingia ikulu lakini tayari wananchi wameamka kwa sasa haitokuwa raisi kwa CCM kuwadanganya raia.