M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,661 Reaction score 1,267 Aug 15, 2009 #1 wana jf kuna dawa inaitwa herigo kit je kuna yeyote aneyejua hutibu nini?je nikweli hutibu ulcers?
Mganga wa Jadi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2008 Posts 280 Reaction score 51 Aug 15, 2009 #2 Moderetors hii thread iende JF doctor hapa si mahala pake.
Mganga wa Jadi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2008 Posts 280 Reaction score 51 Aug 15, 2009 #3 mchajikobe said: wana jf kuna dawa inaitwa herigo kit je kuna yeyote aneyejua hutibu nini?je nikweli hutibu ulcers? Click to expand... Dawa inaitwa Heligo kit ni mchanganyiko wa dawa tatu maalum(kit) ambazo kazi yake ni kutibu peptic Ulcers ( Vidonda vya tumbo). Lakini kabla hujaitumia ni vizuri kuonana na wataalam kwa ajali ya uchunguzi na vipimo.
mchajikobe said: wana jf kuna dawa inaitwa herigo kit je kuna yeyote aneyejua hutibu nini?je nikweli hutibu ulcers? Click to expand... Dawa inaitwa Heligo kit ni mchanganyiko wa dawa tatu maalum(kit) ambazo kazi yake ni kutibu peptic Ulcers ( Vidonda vya tumbo). Lakini kabla hujaitumia ni vizuri kuonana na wataalam kwa ajali ya uchunguzi na vipimo.