luginyo JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,385 Reaction score 637 Oct 3, 2013 #21 Pole sana kaka,ccm hamna cha kutueleza 2015 kwa madudu haya kwani huyo waziri si ajiuzulu tu kashindwa anyooshe mikoni game ngumu msije mkafanya dhambi ya kuiba kura itakula kwenu hiyo
Pole sana kaka,ccm hamna cha kutueleza 2015 kwa madudu haya kwani huyo waziri si ajiuzulu tu kashindwa anyooshe mikoni game ngumu msije mkafanya dhambi ya kuiba kura itakula kwenu hiyo