Hivi hii game ya kidoti mmeielewa?

Hivi hii game ya kidoti mmeielewa?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Aliyedownload na kuicheza hebu aniambie inachezwaje.Yaani chenga tu hamna la maana zaidi ya chupa ya wine picha kidoti ambazo hata hazisogei.

Sijui alifanya uzinduzi wa nini.
 
Hilo game analijua yeye kwakweli mi sina hata mda wa kujua linachezwajee
 
Ni dem flan hivi very dillusional...anajua ku jump on eveything,mapepe meeengi kweli
 
Back
Top Bottom