Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafika wakati lazima hili suala litaingiliwa kati na wadau. Bodi ya wachumi sio wote wanaafikiana na ubanaji wa matumizi (momentary contraction). Tusubili uchumi ukidolola,budget ijayo ikiwa mbaya zaidi ya makadilio hapo ndio mwafaka utapatikanaHali si nzuri baba kikwete gombea tena tutakuchagua[emoji6]