Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,496 Nov 29, 2016 #1 Hali si nzuri baba kikwete gombea tena tutakuchagua[emoji6] Attachments 1480446155628.jpg 62.4 KB · Views: 46
salthanks JF-Expert Member Joined Aug 5, 2016 Posts 3,284 Reaction score 6,854 Nov 29, 2016 #2 Hali gani mkuu?umetuacha njia panda kama sikosei umetuacha segera
Linamo JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,976 Reaction score 24,496 Nov 29, 2016 Thread starter #3 salthanks said: Hali gani mkuu?umetuacha njia panda kama sikosei umetuacha segera Click to expand... Mkuu uko vizuri Sana. Wacha niendelee kuisoma namba.
salthanks said: Hali gani mkuu?umetuacha njia panda kama sikosei umetuacha segera Click to expand... Mkuu uko vizuri Sana. Wacha niendelee kuisoma namba.
Alpha M Senior Member Joined Nov 8, 2016 Posts 165 Reaction score 156 Nov 29, 2016 #5 Linamo said: Hali si nzuri baba kikwete gombea tena tutakuchagua[emoji6] Click to expand... Itafika wakati lazima hili suala litaingiliwa kati na wadau. Bodi ya wachumi sio wote wanaafikiana na ubanaji wa matumizi (momentary contraction). Tusubili uchumi ukidolola,budget ijayo ikiwa mbaya zaidi ya makadilio hapo ndio mwafaka utapatikana
Linamo said: Hali si nzuri baba kikwete gombea tena tutakuchagua[emoji6] Click to expand... Itafika wakati lazima hili suala litaingiliwa kati na wadau. Bodi ya wachumi sio wote wanaafikiana na ubanaji wa matumizi (momentary contraction). Tusubili uchumi ukidolola,budget ijayo ikiwa mbaya zaidi ya makadilio hapo ndio mwafaka utapatikana