True mkuuOoh..! Kumbe ni nature kwa male wote
Mkojo ambao ni maji ya ziada na mkojo ambao ni maji ya uzazi.Orodhesha aina za mkojo nchague
Ndio sema hii kibailojia sana yani kama ulikimbia umande hupati kituNdo inafanya usisimke?
Ndio ila usiniamini saaaana[emoji16][emoji16]Ila nshaelewa kwamba sio tatzo la kutisha