under_score
Senior Member
- Nov 2, 2011
- 190
- 45
Unazingua mkuu,hapa tunataka stori za kungonoka kwenda mbele..
haki ya nani nimecheka mpaka basi yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Unazingua mkuu,hapa tunataka stori za kungonoka kwenda mbele..
hivi silabasi ya kiswahili shule za msingi imebadilishwa siku hizi???
Kwa mtindo huu
sijui kama chajio na membari mmesoma
Unazingua mkuu,hapa tunataka stori za kungonoka kwenda mbele..
swali gumu hilo, naona great thinkers tunajizungusha tu!!!!
.... yani mtoto wa dada yangu ye ananiita mimi "mjomba" na mi namwita yeye "mpwa wangu", sasa ngoma inayokuja kuntatiza ni pale mtoto wangu anapomwita dada yangu "shangazi", kwa hiyo dadangu nae sasa amwite vipi huyo mtoto wangu, atamwita ni "mpwa" pia, au ...