Hivi hii hutokea peke yangu au sio peke yangu? Na je husababishwa na nini?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje wanajf, home of great thinkers.

Moja kwa moja katika mada.

Wadau sometimez huwa nikichili yananijiaga mawazo ya ajabu sana.

Sometimez huwa nawaonea gere sana ndege na yananijia mawazo ya kutamani kuwa ndege ili nipae juu nifurahi kwelkwel...
pia sometimes natamani kuwa samaki yani niogelee kwelkwel yani nifurahie maisha up to its climax point.
Ssa wadau hii inatokea peke yang au sipo peke yang na je inasababishwa na nn?

Kwenu wanajf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How old are you?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Subiri ukifa ndo hisia unazopata Ni Kama vile unapaa
 
Ni hatua katika makuzi.. Ndoto za kutaka kufika mbali kimaisha na kuwa na mamlaka kwa kila ukitakacho
 
Duh! noma sana, ni tatzo ama si tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio tatizo ni hatua katika makuzi kuelekea balehe ya pili

 
Ahsante, nashkur brother Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…