Sijuwi sijaeleweka kwasababu ya uandishi tu au ni kutokana na kitu nilichokiongelea hakiingi akilini kwa hapa kutokana na kuwa membe wa jf wapo despersed kwa sana.
Na nikisema kuhusu kuonana, ninamaana ya kujumuika pamoja ktk eneo walilokubaliana kwa ajili ya hilo. Tuseme kwa member waliopo dar, wanaweza kufanya kitu hiki hasa kupitia uongozi au memberz wenyewe tu