Hivi hii imeshawahi kutokea?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
mwalimu wa kike especially wa primary kuolewa na mwanafunzi wake?
 
Ungetuambia wewe umesikia wapi? Au mkuu una mimba ya mwanafunz wako??? Kikikikkkk kiding!!!!!!
 
mbona siku hizi kuna visredi mse.nge vingi sana humu .........

nikishaona hivi Views: 241 Replies: 6 najua kabisa kuna shida.
 
Pole kwa kupewa mimba na mwanafunzi wako;

Mlianza anzaje ila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…