Hivi hii inagusa na nguo za mitumba pia?

nadhani watakuwa wanatafuta vitu vya wizi. vingi tunatumia ni used magari ndio mengi
 
Usafi wa mazingira wa kila jumamosi+ Madawa ya kulevya+ Vifaa vya magari mabovu+ Simu used----------? Kama ingekuwa ni Mtindo katika Riwaya basi tungeuita ni Mtindo wa Rukia.
 
Usafi wa mazingira wa kila jumamosi+ Madawa ya kulevya+ Vifaa vya magari mabovu+ Simu used----------? Kama ingekuwa ni Mtindo katika Riwaya basi tungeuita ni Mtindo wa Rukia.
Uko visuri sana wewe Jamaa kwenye Fasihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…